Matthew 10:22

22 aWatu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Copyright information for SwhKC